Ni kama ilikua jana nikiangalia picha hizi nakumbuka mengi yaliotokea siku hiyo hakuna alietarajia kuwa hatutakua na Kanumba x-mass hii. Tutakukumbuka daima kwa ucheshi, upendo, ukarimu na Mengi alikujalia Mwenyezi Mungu.
![]() |
Kuanzia kushoto ni Issaya Kandonga 'IK', Shadyah IK, The Great, Fahim na Steven Nzelu |
Kwa maneno yake aliandika hivi "Mara
baada ya kutoka kanisani niliandaa chakula nyumbani kwangu,nikachoma
nyama ya mbuzi na kuku,nikaandaa vinywaji,basi nikawaarika ndugu na
jamaa wachache tu waje nyumbani tufurahi xmass hii.Kila
mtu nilihakikisha anapata kinywaji anachopenda hata wanywaji wa pombe
nao walipata wanachokipenda.Maandiko yanasema tazama ilivyo vyema kwa
ndugu kukaa pamoja na kufurahi."
![]() |
Kuanzia kushoto ni Qwihsar Thompson 'Q' wa CloudsTv, Friend, Edwin Kileo 76, Irene Paul na TheGreat |
"Sebuleni kwangu ndio kulikuwa counter...ahhahah"





MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.
AMEN...I can feel your pain MUNGU awafariji jamani wish you Merry Christmas AND happy new year.
ReplyDelete