Muondelezo wa matukio katika picha za utengenezaji wa filamu ya "Wonder Girl" chini ya Kanumba The Great Films Production.
![]() |
Zakayo Magulu On Set |
![]() |
Muonekano wa picha katika monitor |
![]() |
Rammy, Samofi na Keita On Set |
![]() |
Zakayo Magulu na Lightman Steve Shoo |
![]() |
Mambo yanaendelea scene za nje usiku, Rammy na SB on set |
![]() |
Assistant Production manager Otmar Peter akipitia script na Rammy Galis |
![]() |
Director Zakayo Magulu akitoa maelekezo kwa characters SB na Lilian |
![]() |
Seth Bosco na Lilian Mamuya On Set scene za club usiku |
![]() |
Zakayo Magulu akipata shot nzuri |
![]() |
Marium na Novatus Mayenja the PM himself watikia pozi mbele ya kamera ya SB Blog |
![]() |
Issaya Kandonga "IK" akiwa location anatupia vitu kwenye blog |
![]() |
Seth Bosco na mtoto Nuru On Set |
![]() |
D.O.P Zakayo Magulu na Boom Swinger Steven Stephano wakifanya yao |
![]() |
IK akiwa na watoto, nyumaDirector Zakayo Magulu |
![]() |
Mambo yanaendelea, watoto wanakamua |
![]() |
Watoto Teresia na Nuru wakikamua |
![]() |
Location sio sehemu ya kununa tu, Nova akichekesha crew team na waigizaji tukiwa location hapa akiimba kama Gozilla |
![]() |
Watoto wamefanya kweli kwenye movie hii si ya kukosa |
![]() |
Seth Bosco |
![]() |
Seth Bosco akifanya yake |
![]() |
Cameraman Zakayo Magulu On Set |
![]() |
Make Up artist Marium na Nova ktk pozi |
Movie hii si ya kukosa ikiingia sokoni, SB Blog itaendelea kukujiuza kila kinachojiri katika uandaaji wa filamu hii bomba kabisa ya kitanzania iliojaa mafunzo mengi ya kuijenga jamii.