Hivi karibuni kikundi cha waislamu wenye silaha na mabomu walivamia ubalozi wa Marekani huko Benghazi nchini Libya kuafitia kile walichodai kutengenezwa filamu inayomdhalilisha Mtume Muhamad. Vurugu hizo zilipelekea Balozi Christopher Stevens kupoteza maisha pamoja na maafisa ubalozi wengine watatu ambao wote ni raia wa Marekani. Icheki video hiyo hapo chini.
No comments:
Post a Comment