Thursday, April 11, 2013

HAWA NDIO WALIKUA WAGENI KUTOKA GHANA KTK KUMBUKUMBU YA STEVEN KANUMBA

Siku ya tarehe 5 Aprili 2013 wageni watatu kutoka Ghana waliokuja maalumu kabisa kwa shughuli ya siku ya kumbukumbu ya Steven Kanumba iliofanyika tarehe 7 Aprili mwaka huu. Wageni hao ni Ama K Abebrese, Nana Ama McBrown pamoja na aliekuwa International Manager wa Steven Kanumba Prince Richard Nwaobi-E.
 Ama K Abebrese and Nana Ama McBrown
Nana Ama McBrown na Ama K wakiwasili JNIA


Ama K akiwa na The Great enzi za uhai wake akiwa Ghana

Hapo chini ni tweets za Ama K akisifia Tanzania
 
 
Ama K Abebrese and Nana Ama McBrown1
Mwenye Dress nyekundu ni Comedian/Tv personality Nana Ama McBrown
Ama K Abebrese      

9 comments:

  1. SAFI SANA SETH UNAFUATA NYAYO ZA KAKA YAKO WASHIKE SANA HAO WASANII UTAFIKA MBALI

    ReplyDelete
  2. Poleni sana familia nzimacya Kanumba. Seth nina wazo fanya hivi cheza movie na wadada waliowahi kucheza movie na Steven Kanumba na zika hit and then fanya uzinduzi trust me utakuwa tofauti kwa mfano yule dada alicheza movie ya Fake Smile her name is Batuli. Na wengine kama hao. Do it and then utaona matunda yake fuata ushauri utafika mbali but hakikisha story iwe hot sana. Tupo pamoja kuendelea kusupport Kanumba the great. Wish u all da bes.

    ReplyDelete
  3. Nimevutiwa sana ba Idea aliyotoa mchangiaji wa pili. Kwanza kanikumbusha movie yenye mafunzo makubwa mtafute batuli fanya nae kazi kupitia company hiyo rejea wale waliofanya kazi na marehemu kanumba na kazi zao zikawa gumzo. I appreciate ufanisi wako na juhudi zako huwa napita sitoi comment leo nimeguswa. Mr Charles

    ReplyDelete
  4. Nice comments. Kwa huyu mrembo kiwango kipo batuli wa bosco. Rip Steven

    ReplyDelete
  5. Hi nimeangalia channel 5 for sure batuli anajua anachofanya she is real wengine mbwembwe tu

    ReplyDelete
  6. Sijapita siku nyingi humu. Peoples its true Batuli anatisha.

    ReplyDelete
  7. Rip kipenzi chetu. Seth pole kwa hard time. Najua msiba huwa haushi kwa mfiwa miaka nenda rudi itakuumiza na kuna wakati unakaa na kulia sana ipo hvyo kwa binadamu wote. Naomba nirudi kwenye comments za watu hapo juu nimependa walivyompa kura Batuli. Kifupi huyu mrembo anachapa kazi mbele ya camera hakosei tupe kazi ya huyu mwandada tuone ukali wake tena. Call me Diana Masawe frm mbezi beach

    ReplyDelete
  8. Hi seth I'm Diana natupia comment kwa blog yako saa nane usiku namuina batuli hapa twanga ndani yabillcanas kapendeza mpaka natamano ningekuwa mimi ndio yeye she is cute last time nilichangia hapa kuhusu huyu muigizaji hebu fanya nae kazi utupe ladha kamili. Anavutia sana mimi ni mwanamke but napiga salute kwa huyu malkia.

    ReplyDelete
  9. Amazing msiniambie hakuna wasanii wengine comments zote ni za batuli kawapa nini huyu mdada? Friends badilisheni mind zenu. Mimi namkubali sana riyama je huyu hafai? Seth Bosco blog yako unaitupa sana badilika tafadhali and tuwekee trailers za movie zenu mpya by the way namkubali pia batuli 100 100. Its me anorld

    ReplyDelete