Ngoma ilianzia production room kutengeneza jingle ya kipindi cha Hatua Tatu na mambo yalikua kama unavyoona hapo mtu mzima natiririka.
 |
Hapa mtu mzima nilikua nameza mistari ya kutengeneza Jingle. |
 |
Hapo na producer Jors Bless akifanya vitu vyake ndani ya studio za Times Fm. |
 |
Nikiendeleza makamuzi |
Hatimaye kazi ikaisha tena baada ya msoto mreeefu wa 'rudia hiyo'tena na mengine mengi,wanaoingiza vocal wanajua hizo mambo. Thanks sana Jors Bless wa 7bisha Records .
 |
IK na Jors BLESS |
Kazi ikahamia Redio sasa kwa interview.
 |
Nawaza maswali ninayoulizwa,Mengi yalinikumbusha huzuni. |
 |
Mahojiano yakiendelea |
 |
Hapa nikiwa na mmoja wa watangazaji machachari wa Radio Times Fm anaitwa Ummy. I was told she is single so guys you know what to do. |
 |
Hapa nikiwa na Marium wa Hatua Tatu ya 100.5 Times Fm Radio |
 |
Mariam,Mimi,Ummy na IK |
|
|
 |
Marium, Seth, Ummy na Mkisi Jr. |
Nashukuru sana watu wote mliotuma msg wakati niko hewani natumaini majibu yangu hayakua na utata. Asanteni sana Mkisi Jr Big Boss, Mariam, Ummy, Dj R Guy na Producer Jors Bless kwa ushirikiano wenu, Mungu azibariki kazi za mikono yenu.
All the very best
ReplyDeleteAsante.
ReplyDelete